Tanzania Tanzania: Wakulima wa alizeti huongeza mavuno kwa kufuga nyuki Sylivester Domasa | Januari 10, 2022 Wingu zito, jeusi linatanda polepole angani na mvua inaweza kuanza dakika yoyote. Emiliana Lucas anavuta pumzi na kutabasamu kabla ya […]
Tanzania Tanzania: Kilimo mseto huongeza kipato cha mkulima Haika Kimaro | Januari 10, 2022 Ni asubuhi nzuri ya siku ya Jumamosi na Abdulsalum Njelekela yuko shambani mwake akimwagilia mimea. Anasema, “Ninapata maji mengi kutoka […]
Tanzania Tanzania: Mbinu bora za kilimo za boresha mavuno ya viazi Mary Mwaisenye | Disemba 3, 2018 Ni majira ya saa takribani saa mbili asubuhi, Bibi Everna Mfuse akivuna viazi vyake katika shamba la ekari moja na […]
Tanzania Tanzania: Wakulima wa maharage wapunguza upotevu wa maharage kwa kubadili mbinu za uvunaji na usafirishaji Dinna Maningo | Julai 11, 2018 Ni msimu wa mavuno kanda ya kaskazini magharibi mwa Tanzania. Monica Lugesha akiwa amvaa vazi buluu ya kung’aa na waridi […]
Tanzania Tanzania: Pembejeo za kilimo zimesaidia wakulima kuongeza uzalishaji wa soya Daniel Semberya | Juni 19, 2017 Daniel Lungo ni mkulima mdogo ambaye analima soya kijiji cha Utiga Mkoani Njombe nyanda za juu kusini mwa Tanzania, eneo […]