Tanzania Tanzania: Wakulima wa alizeti huongeza mavuno kwa kufuga nyuki Sylivester Domasa | Januari 10, 2022 Wingu zito, jeusi linatanda polepole angani na mvua inaweza kuanza dakika yoyote. Emiliana Lucas anavuta pumzi na kutabasamu kabla ya […]
Tanzania Tanzania: Kilimo mseto huongeza kipato cha mkulima Haika Kimaro | Januari 10, 2022 Ni asubuhi nzuri ya siku ya Jumamosi na Abdulsalum Njelekela yuko shambani mwake akimwagilia mimea. Anasema, “Ninapata maji mengi kutoka […]
Benin Benin: Vyama vya wanawake vinapigania kujumuisha wanawake katika kufanya maamuzi Michael Tchokpodo | Novemba 23, 2020 Ni saa 7 asubuhi siku ya Jumamosi katikati ya mwezi wa Septemba. Asubuhi ambayo wingu la kijivu limejaza anga huko […]
Uganda Uganda: Mama wajawazito wanapata shida kupata huduma za Afya ya mama na uzazi kwasababu ya hatua za vizuizi vya COVID-19 Emmy Daniel Ojara | Novemba 23, 2020 Milly Apiyo anatokwa na machozi wakati akijitahidi kuelezea jinsi hivi karibuni alivyompoteza mtoto wake ambaye hajazaliwa kwasababu hakuweza kufika kwenye […]
Ghana Ghana: Athari za kiuchumi za COVID-19 husababisha unyanyasaji wa kingono na kijinsia Gideon Kwame Sarkodie Osei | Novemba 23, 2020 Ni saa nne alasiri na Abena Nhiyra wa miaka 17, ambaye ni mjamzito, amerudi kutoka shuleni. Anaonekana amechoka na analia […]
Benin: Vikundi vya akiba na kukopa vijiji vinajitahidi kupambana kwa sababu ya COVID-19 Michael Tchokpodo | Oktoba 14, 2020 Ni karibu saa 11 alfajiri ya Jumatano mwanzoni mwa Julai. Anga linaingia giza na mvua inaanza kunyesha. Véronique Ahissou anapanga […]
Burkina Faso: Amepona ugonjwa wa virusi vya Corona, mwandishi wa habari Issaka Lingani anasema alikuwa na bahati kuliko wengine Paul-Miki Roamba | Oktoba 14, 2020 Katika miaka yake sitini, Issaka Lingani ni mwandishi wa habari na mkurugenzi wa chapisho la kila wiki la Maoni huko […]
Nigeria: COVID-19 huathiri mapato ya wafanyakazi wa mashambani Jamila Hamisu | Oktoba 14, 2020 Ni mapema asubuhi siku ya Jumapili, joto ni karibu nyuzi joto 25, na msimu wa mvua ndio kwanza umeanza. Akiwa […]
Nigeria: Wakulima wanakabiliwa na shida kupata pembejeo za kilimo kwasababu ya kufungiwa kutokana na COVID-19 Ted Phido | Oktoba 14, 2020 Ni karibu saa mbili asubuhi na Bello Iliyasu tayari amepanda pikipiki-sio kwa hiari, lakini kwa sababu kuna vizuizi kwa usafirishaji […]
Uganda Uganda: Marufuku katika masoko ya mifugo kwasababu ya Virusi vya Corona (COVID-19) hufanya maisha kuwa magumu kwa mfugaji wa kuku Denis Ongeng | Agosti 5, 2020 Ni saa sita kamili mchana katika siku ambayo ina hali ya joto kutokana na jua, na hali ya joto inaongezeka […]