Wingu zito, jeusi linatanda polepole angani na mvua inaweza kuanza dakika yoyote. Emiliana Lucas anavuta pumzi na kutabasamu kabla ya […]
Peter Kakanji anapiga mswaki kwa kutumia kijiti kilichotafunwa vizuri mithili ya mswaki. Anatazama angani kuona dalili za mvua za karibuni […]
Akiwa ameweka mikono yake nyuma, Mhache Paulo anatazama kwa umakini uani mwa nyumba yake na mdomo wa Agape. Mr Paulo […]
Susan Mathias hakumbuki vizuri mara ya mwisho familia yake ya watu saba imekaa njaa. Lakini mvua zisizotarajiwa na gharama kubwa […]