Tanzania: Kilimo mseto huongeza kipato cha mkulima Ni asubuhi nzuri ya siku ya Jumamosi na Abdulsalum Njelekela yuko shambani mwake akimwagilia mimea. Anasema, “Ninapata maji mengi kutoka […] Haika Kimaro | Januari 10, 2022