Tanzania: Wakulima watunza udongo kwa kufanya kilimo hifadhi, kukwatua kwa kina kifupi na kuacha mabaki ya mazao shambani
Anga jeupe na jua likiwaka katika milima kijani yenye miinuko mikali katika maeneo ya mlima Meru kaskazini mwa Tanzania. Mkulima […]