Uganda Uganda: Marufuku katika masoko ya mifugo kwasababu ya Virusi vya Corona (COVID-19) hufanya maisha kuwa magumu kwa mfugaji wa kuku Denis Ongeng | Agosti 5, 2020 Ni saa sita kamili mchana katika siku ambayo ina hali ya joto kutokana na jua, na hali ya joto inaongezeka […]
Malawi Malawi: Hatua za kutotangamana kwa watu kwa ajili ya kujikinga na COVID -19 zimevuruga masoko na kipato cha wakulima Lovemore Khomo | Juni 10, 2020 Ni mchana uliotulia, siku yenye ubaridi na Ida Maganga anafika nyumbani kutoka katika shamba lake la viazi na nyanya lililopo […]
Tanzania Tanzania: COVID-19 inawalazimisha wachuuzi wa kike kuuza kwa kutumia njia Enos Lufungulo | Juni 10, 2020 Kunanyesha jioni hii, lakini Sophia Kimaro yuko bize katika nyumba yake kuandaa unga wa ngano na mchele kwa ajili ya […]
Tanzania Tanzania: Wakulima kuanza kuzalisha mihogo kama zao la kibiashara kutokana na ongezeko la hitaji Enos Lufungulo | Agosti 13, 2018 Ni muda wa jioni lakini Joram Mikanda bado yuko shambani kwake, akiangalia kama mihogo yake imekomaa na iko tayari kwa […]
Tanzania Tanzania: Kukosekana soko la kueleweka la soyalishe kumewavunja moyo wakulima Daniel Semberya | Juni 19, 2017 Utiga ni kijiji kidogo kilichopo mkoa wa Njombe nchini Tanzania, umbali wa zaidi ya kilomita 700 kutoka Dar es salaam […]