Uganda: Marufuku katika masoko ya mifugo kwasababu ya Virusi vya Corona (COVID-19) hufanya maisha kuwa magumu kwa mfugaji wa kuku Ni saa sita kamili mchana katika siku ambayo ina hali ya joto kutokana na jua, na hali ya joto inaongezeka […] Denis Ongeng | Agosti 5, 2020