Tanzania Tanzania: Wakulima watunza udongo kwa kufanya kilimo hifadhi, kukwatua kwa kina kifupi na kuacha mabaki ya mazao shambani Joachim Laizer | Juni 26, 2023 Cette nouvelle a été publiée en juin 2018. / This story was originally published in June 2018 Anga jeupe na […]
Benin Benin: Vyama vya wanawake vinapigania kujumuisha wanawake katika kufanya maamuzi Michael Tchokpodo | Novemba 23, 2020 Ni saa 7 asubuhi siku ya Jumamosi katikati ya mwezi wa Septemba. Asubuhi ambayo wingu la kijivu limejaza anga huko […]
Uganda Uganda: Mama wajawazito wanapata shida kupata huduma za Afya ya mama na uzazi kwasababu ya hatua za vizuizi vya COVID-19 Emmy Daniel Ojara | Novemba 23, 2020 Milly Apiyo anatokwa na machozi wakati akijitahidi kuelezea jinsi hivi karibuni alivyompoteza mtoto wake ambaye hajazaliwa kwasababu hakuweza kufika kwenye […]
Ghana Ghana: Athari za kiuchumi za COVID-19 husababisha unyanyasaji wa kingono na kijinsia Gideon Kwame Sarkodie Osei | Novemba 23, 2020 Ni saa nne alasiri na Abena Nhiyra wa miaka 17, ambaye ni mjamzito, amerudi kutoka shuleni. Anaonekana amechoka na analia […]
Benin: Vikundi vya akiba na kukopa vijiji vinajitahidi kupambana kwa sababu ya COVID-19 Michael Tchokpodo | Oktoba 14, 2020 Ni karibu saa 11 alfajiri ya Jumatano mwanzoni mwa Julai. Anga linaingia giza na mvua inaanza kunyesha. Véronique Ahissou anapanga […]
Burkina Faso: Amepona ugonjwa wa virusi vya Corona, mwandishi wa habari Issaka Lingani anasema alikuwa na bahati kuliko wengine Paul-Miki Roamba | Oktoba 14, 2020 Katika miaka yake sitini, Issaka Lingani ni mwandishi wa habari na mkurugenzi wa chapisho la kila wiki la Maoni huko […]
Nigeria: COVID-19 huathiri mapato ya wafanyakazi wa mashambani Jamila Hamisu | Oktoba 14, 2020 Ni mapema asubuhi siku ya Jumapili, joto ni karibu nyuzi joto 25, na msimu wa mvua ndio kwanza umeanza. Akiwa […]
Nigeria: Wakulima wanakabiliwa na shida kupata pembejeo za kilimo kwasababu ya kufungiwa kutokana na COVID-19 Ted Phido | Oktoba 14, 2020 Ni karibu saa mbili asubuhi na Bello Iliyasu tayari amepanda pikipiki-sio kwa hiari, lakini kwa sababu kuna vizuizi kwa usafirishaji […]
Uganda Uganda: Marufuku katika masoko ya mifugo kwasababu ya Virusi vya Corona (COVID-19) hufanya maisha kuwa magumu kwa mfugaji wa kuku Denis Ongeng | Agosti 5, 2020 Ni saa sita kamili mchana katika siku ambayo ina hali ya joto kutokana na jua, na hali ya joto inaongezeka […]
Malawi Malawi: Hatua za kutotangamana kwa watu kwa ajili ya kujikinga na COVID -19 zimevuruga masoko na kipato cha wakulima Lovemore Khomo | Juni 10, 2020 Ni mchana uliotulia, siku yenye ubaridi na Ida Maganga anafika nyumbani kutoka katika shamba lake la viazi na nyanya lililopo […]