Tanzania: Wanakijiji wakisafiri mbali maporini kutafuta mboga za asili zinazozidi kupotea kutokana na shughuliza kibinadamu
Lazack Kesongo anazama katika maji ya kina kifupi cha mto Mara, polepole akivuka ng’ambo kwenda kutafuta mboga ya kirerema. Kirerema […]