Tunataka maoni yako kuhusu rasilimali za Farm Radio

| Febuari 6, 2023

Download this story

Farm Radio International hutuma kwa wadau wake wa utangazaji rasilimali na huduma ili kusaidia washirika wetu wa utangazaji kuandaa mpango bora wa vipindi vya redio. Rasilimali hizo ni pamoja na:

●    Utangulizi, miongozo, na matangazo ya redio,
●    Barza Wire,
●    Majadiliano katika WhatsApp na Telegramu
●    Moduli za mafunzo kwa njia ya kielektroniki
●    Uliza poll,
●    na zaidi.

Tafadhali jaza dodoso hili ili kushiriki maoni yako kuhusu rasilimali na huduma hizi. Maelezo haya yatatujulisha ikiwa yalikuwa na manufaa kwako, na yatatusaidia kuboresha rasilimali na huduma za siku zijazo.

Bofya hapa ili kupata dodoso: https://forms.gle/xUMwygmSAcJt5V7P8

Kuna maswali 28 katika hili dodoso. Inapaswa kukuchukua dakika 30-45 kukamilisha.

Kila mtu atakayekamilisha utafiti ataingizwa kwenye droo ya kupokea mojawapo ya zawadi 10 za $50 za Kanada katika salio la simu. Lazima ujibu maswali yote ili uweze kuingizwa kwenye droo.

Tarehe ya mwisho ya kukamilisha dodoso ni Februari 17, 2023.