- Barza Wire - https://wire.farmradio.fm -

Masuluhisho Kwa Uchafuzi Wa Plastiki

Siku ya Mazingira Duniani mwaka wa 2023 ni ukumbusho kuwa juhudi za watu za kukabiliana na uchafuzi wa plastiki ni muhimu. Hatua zinazochukuliwa na serikali na mashirika ya biashara kukabiliana na uchafuzi wa plastiki zinatokana na juhudi hizi.

Ni wakati wa kuimarisha juhudi hizi na kuhamia kwa uchumi unaotumia bidhaa tena na tena.

Ni wakati wa ku- #KomeshaUchafuziWaPlastiki.

https://www.worldenvironmentday.global/sw [1]