Utuonyeshe namna ambayo tunaweza kuboresha vyanzo vyetu vya taarifa

| Novemba 26, 2018

Download this story

Asante kwa kuwa mdau mtangazaji wa Farm Radio International. Wewe ni mmoja kati ya waandishi 2,000+ wa redio kutoka mashirika 800 baranii Afrika unao pokea vyanzo vyetu vya taarifa na mafunzo.

Farm Radio International inaandaa vyanzo mbalimbali vya taarifa kwa waandishi wetu wa habari. Tunasambaza vyanzo hivi kwa njia nne: Barza Wire, Vyazo vya taarifa kwa waandishi wa habari, Majadiliano kwa njia ya mtandao, na moduli za mafunzo kwa mtandao. Kwa urahisi unaweza kupata taarifa zote kupitia www.farmradio.fm.

Kwasababau wewe ni mdau wetu tungependa kujua unatumiaje vyanzo hivi vya taarifa, unapenda nini juu ya vyanzo hivi, na namna gani tunaweza kuboresha. Sikuzote tunaanda vyanzo mbalimbali vya taarifa na katika mifumo mbalimbali na tungependa kupata maoni yako!

Tathmini hii inamaswai 29 na itakuchukua dakika 15-20 kukamilisha.

Fanya tathmini https://survey.zohopublic.com/zs/zmB3ow?lang=sw

Maswali ya awali ni maswali ya lazima, tafadhali kumbuka kutuelezea kidogo kuhusu wewe

Kila mtu atakaye shiriki katika utafiti ataingia kwenye droo ya kushinda dola 50 kama muda wa maongezi, kushiriki katika droo hii kamilisha maswali yote

Tathmini itafanyika mpaka Mwezi wa kumi na mbili tarehe. 13.