Farmer Stories

...

Kenya: Wakulima wa maembe hutumia mifuko ya chupa ya plastiki kukabili nzi wa matunda

Robert KIbet December 10, 2019

Shamba la Bw. Josiah Mwangi limejaa miti ya maembe. Ukiliangalia kwa umbali, miti inaonekana kuunda dari, yenye visehemu vya kijani kibichi kilichonyooka […]

Read more

...

Tanzania: Wanawake hutumia viatilifu kuthibiti wadudu na magonjwa kwenye maharage

Kathryn Burnham September 24, 2019

Ni msimu wa kupanda mazao wilayani kasulu, na Bibi Ziporah Mussa yupo katika shamba lake anapanda maharage. Hali ya hewa ni tulivu […]

Read more

...

Tanzania: Wakulima hutumia njia za asili na viatilifu katika kuthibiti wadudu wanaoshambulia mahindi

Dinna Maningo September 24, 2019

Ni msimu wa mvua katika wilaya ya Karagwe, na mkulima mkongwe wa miaka 58 Jane Joseph amesimama katika shamba lake la mahindi, […]

Read more

...

Kenya: Miti husaidia wakulima katika urutubishaji wa ardhi na kuongeza uzalishaji wa mazao

James Karuga September 24, 2019

Beatrice Wamalwa anatabasamu huku akiwa anatembea katika shamba lake, akiwa amezungukwa na miti. Anaangalia kwa mshangao idadi ya miti na kukumbuka wazi […]

Read more

...

Tanzania: Magonjwa na ukosefu wa malisho unazuia upatikanaji wa masoko ya nje ya mifugo

Gaudensia Mngumi September 23, 2019

Ni majira ya saa nne na nusu asubuhi, anga limeng’aa na hali ya hewa ni shwari. Chui Meja anaangalia ngombe, kondoo na […]

Read more

...

Tanzania: Athari za mabadiliko ya tabia nchi kwa mifugo na wafugaji

Sylivester Domasa September 23, 2019

Akiwa ameweka mikono yake nyuma, Mhache Paulo anatazama kwa umakini uani mwa nyumba yake na mdomo wa Agape. Mr Paulo anasema kwamba […]

Read more

...

DRC: Wakulima wanaungana pamoja ili kuboresha soko la mahindi yao

Joseph Tsongo July 03, 2019

Henriette Sahengema anatoka katika jengo kubwa la cinderblock akihesehabu malipo mapya kwa furaha akitabasamu katikati ya wakulima kadhaa. Hii ni mara ya […]

Read more

...

Tanzania: Wanawake waendelea kupanda maharage pamoja na changamoto ya masuala ya kijinsia

Enos Lufungulo December 03, 2018

Ingawa ni mchana na kuna jua kali, Verantikisi Daniel Kaaya anaonekana akiketi barazani mwake akiwa ameshikilia beseni lake la chuma analotumia kupepeta […]

Read more

...

Tanzania: Mbinu bora za kilimo za boresha mavuno ya viazi

Mary Mwaisenye December 03, 2018

Ni majira ya saa takribani saa mbili asubuhi, Bibi Everna Mfuse akivuna viazi vyake katika shamba la ekari moja na nusu akisaidiwa […]

Read more

...

Tanzania: Wanawake wakulima watafuta mikopo nafuu kuongeza uzalishaji wa mihogo

Lilian Madelemo November 20, 2018

Ni majira ya saa saba mchana, ambapo nimefika katika kijiji cha Kongo kilichopo Bagamoyo, mkoani kilometa 60 kutoka jiji la Dar es […]

Read more

...

Tanzania: Wakulima kuanza kuzalisha mihogo kama zao la kibiashara kutokana na ongezeko la hitaji

Enos Lufungulo August 13, 2018

Ni muda wa jioni lakini Joram Mikanda bado yuko shambani kwake, akiangalia kama mihogo yake imekomaa na iko tayari kwa kuvunwa. Bw. […]

Read more

...

Tanzania: Wakulima wa maharage wapunguza upotevu wa maharage kwa kubadili mbinu za uvunaji na usafirishaji

Dinna Maningo July 11, 2018

Ni msimu wa mavuno kanda ya kaskazini magharibi mwa Tanzania. Monica Lugesha akiwa amvaa vazi buluu ya kung’aa na waridi na kitambaa. […]

Read more